S5 · A-level Kiswahili (Fasihi) · Term 3
Ushairi S5 Kiswahili (Fasihi) questions and answers
10 practice questions on Ushairi in the Elaarn app, marked line by line like the exam.
Installed it? Come back and tap Open in Elaarn.
Ushairi: sample questions with answers
Work each one out first, then open the answer. The full working and your marks are in the app.
Question 1
Eleza maana ya shairi huru na utaje sifa tatu zake.
Show answer
Answer: Halifuati arudhi; bila vina na mizani ya lazima; mistari tofauti; lugha ya picha; mdundo wa ndani.
Question 2
Eleza dhima nne za nyimbo katika jamii.
Show answer
Answer: Burudani; kazi; maadili; historia; kubembeleza; maombolezo; siasa.
Question 3
Wanamapokeo wanadai kwamba shairi huru si shairi. Jadili hoja za pande zote mbili.
Show answer
Answer: Wanamapokeo: vina/mizani, urithi, kuiga Magharibi, kufanana na nathari. Wanamapinduzi: hisia, ubunifu, ushairi simulizi. Hitimisho.
What you practise in Ushairi
- Shairi huru
- Ushairi simulizi: nyimbo, maghani, ngonjera
- Uchambuzi wa shairi huru
- Mjadala wa wanamapokeo na wanamapinduzi
More S5 Kiswahili (Fasihi) topics
A-level · S5 · Kiswahili (Fasihi) · Fasihi. Elaarn covers every class from P1 to S6. About Elaarn